Wednesday, July 12, 2017

See You Again ya Wiz Khalifa ndio ulioangaliwa zaidi YouTube






Rapa Wiz Khalifa, katika akifanya sherehe ya kufurahia wimbo wake kuongoza katika mtandao wa Youtube ndani ya wiki hii. Video hiyo ya msanii Khalifa’s #1 wimbo huo wa “See You Again,” akimshirikisha Charlie Puth, huku akifuatiwa na msanii Psy‘s “Gangnam Style” katika mtandao wa YouTube zilizoangalia sana.


Wiz’s katika mtandao huo wa Vevo ndio ulioangalia  zaidi ya 2.896 billion ila mpaka sasa tarehe 12/7/2017 saa 1:47 katika majira ya afrika mashariki ni

2,903,032,216 walioangalia akifuatiwa na msanii kutoka korea 2.894 billion. Msanii huyo Wiz Khalifa anaonekana kama mfalme katika mtandao wa Youtube zaidi ya wasanii kama vile Justin Bieber, Jay-Z, Beyonce, Katy Perry, au Adele.
“See You Again”, iliandikwa na Puth, huku ikiwa soundtrack ya movie ya Furious 7. Wimbo huo umeshariki katika tuzo tatu Grammy 2016.



PSY - GANGNAM STYLE(강남스타일) M/V

Huyu ndio anamfuata Wiz Khalifa


0 Comments: