Nicki Minaj na Blac Chyna jana tarehe 20/7/2017 walikuwa katika jiji la Miami. Wanadada hao wawili kwa pamoja walikuwa katika utengenezaji wa video mpya ya mwanadada Nicki’s inayokwenda kwa jina la “Rake It Up” kwa pamoja walikuwa wanaonekana vizuri katika video hiyo, lakini  Chyna alikuwa anaonekana juu zaidi ya  Nicki.