Siku ya Ijumaa 28 Julai 2017 Saa 2.00 Usiku
Bendi
maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka
FFU-Ughaibuni au Viumbe wa ajabu "Anunnaki Aliens" yenye makao yake
nchini
Ujerumani inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho la wazi la
Orient-Afrika litakalo fanyika mjini Bonn,Ujrumani siku ya Ijumaa
28.Julai 2017
saa 2.00 Usiku(20.00 hrs),bendi hiyo inayoongozwa
na Kamanda Ras Makunja inadumu katika medani ya muziki kwa miaka 24 na
kufanikiwa kuteka washabiki wa kimataifa,pamoja na kuachia nyimbo na CD
kadha
bendi hiyo imejizolea umaarufu katika majukwaa ya kimataifa wa mdundo wa Extraordinary
unaowatia kiwewe washabiki barani ulaya. Usikose kujumuika nao at
0 Comments:
Post a Comment