Wednesday, July 19, 2017

Davido aonyesha mjengo wake mpya wa Atlanta, USA

Msanii kutoka Nigeria, Davido ameonyesha mjengo wake aliokuwa akiusubiria ambapo kwa sasa umeshakamilika na tayari kwa kuhamia. Mjengo huo uliokuwa ukijengwa na tayari kwa kuishi na amesema utakuwa kwa ajili ya kupumzikia akiwa Marekani mjengo huo uko Atlanta, USA.  Kwa sasa msanii huyo yuko katika ziara yake ya kimuziki na akimaliza atakuwa tayari kuhamia katika mjengo wake huo.

Davido mwenye miaka 24 alishare picha za mjengo huo katika mitandao ya jamii wa instagram akionyesha kukamilika kwa mjengo wake huo kwa mashabiki wake.

Msanii huo aliandika maneno haya,
‘My crib complete!! Big ups @_infiniteconstruction !’
A post shared by Davido Adeleke (@davidoofficial) on


 
Davido had previously shared pictures of his incomplete house including the one he is building for his young fan who captured his heart with his hit song ‘IF.’
See more photos below:
DAV5.jpg
DAV55.jpg
DAV56.jpg

0 Comments: