Friday, July 21, 2017

Davido anaweza kwenda jela kwa hii video


Video ikimuonyesha msanii David Adeleke kwa jina maarufu Davido na crew yake walionekana wakimpiga Shemeji yake wa zamani na msanii wa filamu Tonto Dikeh’s, anayejulikana kwa jina la Tokunbo ambayo chinnys blog aliitupia katika mtandao wa jamnii.

Video hiyo ilitumwa na @chinnys blog ikimuonyesha msanii Davido na rafiki zake wakimpigia Tokunbo usoni na kumtupia maneno makali.

Video iliyotumwa na kuandikwa manenoi yaliyokuwa yakisema, “Watch Moments #Davido and his Crew Teamed up, to beat up Tonto’s Ex brother-in-law, Tokunbo #Gwingz in London for lying to Davido that he is hooking him up with a mixed race girl called Suniat not knowing his real intentions were to steal from them.”

The time of this incidence is not known, but we would deftly update you if news breaks about it.

Watch video below…

0 Comments: