MKALI wa muziki wa kizazi kipya Baraka The Prince amesema anafanya muziki kwa ajili ya mashabiki wake na si kwa ajili ya menejementi.
Ametoa kauli hiyo baada ya kujiondoa katika lebo ya RockStar4000 huku akitumia nafasi hiyo bado anao uwezo wa kuimba nyimbo nzuri na pale inapotokea haijafanya vizuri maana yake menejimenti inakuwa haijatekeleza wajibu wake ipasavyo.
“Sifanyi muziki kwa ajili ya menejimenti, nafanya kwa ajili mashabiki, ndio wanachua nyimbo zangu mtandaoni naingiza fedha.Mashabiki ndio wanaangalia nyimbo zangu YouTube nalipwa, “anasema.

0 Comments:
Post a Comment