Wolper ameamua kumuweka hadharani mpenzi wake mpya anayejulikana kwa jina la Brown kwa kutumia mtandao wake wa Instagram ameweka na video wakiwa kwenye mazingira tulivu wakiponda raha.
Mbali ya Wolper kumtambulisha rasmi mpenzi wake mpya ikiwa ni ukurasa mpya baada ya kuachana na Harmonize, Brown naye siku chache zilizopita aliweka picha akiwa na mrembo huyo kitandani kwa raha zao.

0 Comments:
Post a Comment