Tuesday, July 11, 2017

Amber Rose na mchumba wake, 21 Savage, Siko tayari na Wiz Khalifa



Amber Rose‘s ambaye kwa sasa ana furaha kuwa na mchumba wake huyo rapa 21 Savage na kusema ya kuwa hayuko tayari kwa sasa kurudiana na baba mtoto wake wa kiume na rapa Wiz Khalifa ambaye amezaa nae mtoto wa kiume mwenye miaka 4, Sebastian Taylor Thomaz.

Rose ametuma picha kwenye mtandao wa Instagram.com image akiwa na mchumba wake huyo wakiwa pamoja kitandani.

Katika picha hiyo aliandika ujumbe uliokuwa ukisema: “It’s pretty amazing waking up every morning feeling love like this. I’ve cried endlessly and been hurt a lot in my life, I’ve been abused, talked to like I wasn’t shit, been gaslighted and Slut shamed by men that I once loved and cared about.”
Under another image, she wrote: “When he loves spoiling you but you got ur own money so you spoil him instead. Ain’t nothin like that #thuglove.”

Lakini katika mahojiano na Real 92.3 wiki hii msanii huyo ambaye ni mchumba wake Rose alisema. “She makes me do sh-t that I don’t normally do, like take vitamins and drink water… We sit at the pool, we talk, we watch documentaries, we go out, we eat, I give her massages, chocolate, flowers, new purses, diamonds.”

Ni kweli kila mwanamke anahitaji mwanamume ambaye atampa furaha lakini kwa Rose yeye anaonekana mwenye furaha sana kuwa na mimi na tuna furaha wote na kutumia fedha kwa kile tukitakacho. 
Rapa huyo mwenye miaka 24 ambaye jina lake halisi ni Shayaa Bin Abraham-Joseph, alizungumzia picha waliyokuwa pamoja wakifanya shopping na mwanae wa kiume.

He said he hasn’t met or spoken to the boy’s father, Wiz Khalifa.
“I ain’t talk to Wiz yet. It ain’t no disrespect. I ain’t really around (their son) though. That was just some sh-t, motherf-ckers taking pictures,” he said, referring to the cell phone photos.
He added:
“But at the same token, Wiz a great father. I’m not trying take nothing away from what Wiz do. But if you gon’ be with a woman, you have to accept her child just like she’s gonna have to accept my kids. But I’m not on no step daddy-type sh-t or no sh-t like that. He cool though.”



Amber Rose na 21 Savage


Amber Rose na 21 Savage


Amber Rose

0 Comments: