BINTI mwenye uzuri wake na urefu wa kuvutia machoni kwa wanaume walio wengi, Tunda Sebastian ameamua kuelezea madai ya kwamba ana mimba.
Akielezea kwa kujidai wiki hii, mwanadaa huyo ambaye amekuwa maarufu kutokana na kushiriki kwenye video za wasanii maarufu nchini, anasema tumbo lake linaonekana kubwa kwasababu tu ya kutokuwa na mpangilio mzuri wa chakula.
“Watu wanadi nina mimba lakini ukweli sina mimba wala kitambi cha ulabu.Hili tumbo limejaa misosi tu si kingine, kuna kipindi nilikuwa na mpangilio mbaya wa menyu. Hata hivyo najitahidi kufanya mazoezi na kupunguza kufakamia misosi,”anasema.
Siku za karibuni kumeibua tetesi kuwa Tunda ana mimba ya staa wa muziki wa kizazi kipya nchini(jina kapuni)lakini mwenyewe anaweka wazi hana mimba.Hata hivyo ukweli wa yote utabaki kwake mwenyewe.

0 Comments:
Post a Comment