MSANII mkongwe Saida Karoli ameamua kuingia studio kwa ajili ya kuredi wimbo mpya ambayo ametumia vionjo vya wasanii wa Bongo Fleva ili kutia ladha.
Wimbo huo unakuja kipindi ambacho wasanii maarufu nchini akiwamo Darassa,Belle 9 na Diamond kutumia baadhi ya vionjo vya Saida kwenye nyimbo zao.
Msanii huyo ametoa wimbo mpya ambapo ameamua kutumia vionjo vya nyimbo za wasanii hao kama ambavyo nao walitumia vionjo vyake kwenye nyimbo zao.
Wimbo huo mpya wa Saida Karoli upo kwenye mahadhi ya nyimbo ya asili na tafsiri yake ni Kiswahili ni Maneno maneno

0 Comments:
Post a Comment