Friday, June 23, 2017

PICHANI: Mastaa wajumuika na Debra Lee ufunguzi wa chakula cha mchana katika tuzo za BET


Debra Lee ambaye ni CEO wa BET wa pili kulia amejumuika na mastaa katika chakula cha mchana katika tuzo za BET jijini  Los Anngeles jumatano. Mastaa walioalikwa katika tuzo hizo ni Erica Ash, kushoto Remy Ma wa pili kushoto na Wendy Robinson kulia. Tuzo za BET zinafanyika June 25.

Penzi linaloshamiri kwa sasa ni Remy Ma na mchumba wake  Papoose nao waliwakilisha katika hafla hiyo ya mwanamama Debra Lee’s ambaye ni CEO wa BET, kwa pamoja waliwakilisha katika  uzinduzi wa tuzo za BET katika chakula cha mchana jijini L.A. siku ya jumatano.
This Matrix-styled dress was all the rage at the party. The dress-wearer Justin Skye turned heads as well.
Tamar Braxton nae aliwasili katika ufungzui wa tuzo za BET katika chakula cha mchana pamoja na mumewe hayupo pichani Vince Herbert.Kwani alipowasili alionekana katika kupendeza sana
Rapa Li’l Mama kushoto na Mtangazaji wa TV Tammy Rivera na rafiki yake , Instagram blogger Kyndall Kendall wote waliwasili katika chakula hicho cha mchana.
Msanii Kym Whitley akiwa amepozi na 'Celebrity makeup artist' Derrick Rutledge. Derrick ni mtaalamu wa mambo hayo ambaye ameshawaremba wwatu wakubwa mashuhuri kama vile  Oprah, Denzel Washington na Kenya Moore.
Mtangazaji wa TV, Yandy Smith mwenye miaka 35 naye alikuwepo ambaye wameachana na Mendeecees.Kwa sasa yupo singo na anatafuta mchumba kwa sasa kwa aliye tayari anakaribishwa.
Mona Scott-Young naye alikuwepo katika kuungana na Debra Lee’s katika uzinduzi wa tuzo wa BET katika chakula cha mchana jijini  Los Angeles.
Fitness trainer Jeanette Jenkins, Queen Latifah‘s ex, looked cute in a blue romper. Latifah and her other ex-girlfriend, Eboni, jetted to Cabo San Lucas, Mexico for some fun in the sun last weekend.

Papoose


Mr na Mrs Papoose & Remy Ma


Vince Herbert mumewe wa Tamar Braxton


Connie Orlando


Rotimi


DJ


Garcelle Beauvais


French Montana


Guest, Michael Kyser, Gizelle Bryant, Erika Liles


Atmosphere


Bryshere Gray

0 Comments: