Saturday, June 10, 2017

Penzi la Nina laingia doa

LICHA ya uhusiano wa kimapenzi wa mrembo Nina Agdal( 25) kuingia doa na rafiki yake, Leonardo DiCaprio bado anaendelea kutesa mitaani na vazi lake maridadi.
Mrembo huyo wa Denmark amekuwa gumzo kila anakopita kutokana na aina ya mavazi yake hali inayowaweka wanaume roho juu.
Kama hiyo haitoshi mitandao mbalimbali ya kijamii hupambwa na taarifa zinazomhusika mrembo huyo ambaye anaonekana kugusa nyoyo za vijana wengi kutokana na muonekano wake ulivyo.

0 Comments: