MWANADADA anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu Nollywood, Mercy Aigbe ameachana rasmi na muweme, Lanre Genrty kwa kuondoa na kuitupa pete aliyovishwa wakati akiolewa.
Kutokana na adhabu aliyopewa na mumewe huyo, Mercy aliondoka walipokuwa wakiishi mjini Ojodu Berger jijini Lagos na kuhamia kwenye nyumba nyingine mjini Magodo.
Akizungumza bila kung’ata maneno, nyota huyo aliwaambia mashabiki wake ameamua kulifuta jina la Gentry katika mtandano wake wa kijamii na kuweka jina lingine.
Pamoja na kutumia jina lingine, lakini mwanadada huyo hakusita kuacha gauni lake la harusi pamoja na pete aliyovishwa ambazo huashiria ndoa.

0 Comments:
Post a Comment