Friday, June 9, 2017

Mary J Blige ameambiwa na mahakama kumlipa mumewe Kendu Isaacs $30,000 kwa mwezi




Mkali wa R&B Mary J Blige bado amezidi kuandamwa na kesi ya kuachana na mumewe Kendu Isaacs. Jaji aliyekuwa anaendesha kesi yake ametoa oda ikisema “Not Gon’ Lie” lazima msanii huyo amlipe Isaacs $30,000 kwa mwezi kwa ajili ya kujikimu.


Kiasi hicho kitakuwa ni ongezeko la dola $129,319 kwa mwezi ambayo Isaacs amemuhimiza  jaji  afanye haraka Blige kumlipa. 'Document' za Mahakamani zinamlazimu  Blige kumlipa meneja wake huyo wa zamani na mumewe ili zimsaidie yeye na wazazi wake, mchumba wake na watoto wake baada ya kuachana katika mahusiano hayo.

“I’m not responsible for supporting his parents and his children from another relationship, which he lists as ongoing monthly expenses,” Blige stated in her divorce petition.
But the judge bought Isaacs’ argument that he was entitled to the lavish lifestyle he had become accustomed to as the husband of an R&B star.

Jaji ametoa oda hiyo kwa Blige kumlipa mtalaka wake huyo baada ya kuachana baada ya kuomba talaka ya kuachana na kisheria gaharama za kesi kwa ujumla ilikuwa  dola $235,000 baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu hadi hapo ilipofikia

0 Comments: