Wednesday, June 7, 2017

Laverne Cox afunguka kuhusiana na mapenzi yake kwa miaka minne





Actor Laverne Cox opened up about being in an abusive relationship with an alcoholic. Cox, a transgender whose real name is Roderick Laverne Cox, says low self-esteem kept him in the abusive relationship for four years.

Alikuwa akihojiwa na jarida la Grazia, the Orange is the New Black star said his low self-esteem issues kept him in the abusive relationship, and he didn’t leave because he felt he couldn’t find another white man willing to date a black transgender.
“Nina amini kwa hilo kwa sababu nilikuwa mweusi na nimebadili jinsia yangu na kulikuwa hakuna mwanaume ambaye atanipenda mimi. Mahusiano haya yaliniumiza sana na kuniua,” alisema Cox katika picha chini kushoto na mwenzake aliyebadili jinsia ambaye ni Mtangazaji Miss Lawrence.


Cox amesema baada ya kutafuta amani ya kuishi katika mapenzi yake ya kujibadili jinsia anaangalia mwanaume wa kuwa nae kimapenzi lakini mwanaume huyo alikuwa akiwasiliana nae kwa zaidi ya mwezi lakini hawakufanya kitu chochote .

“Years ago I was on OKCupid. I had an hour and a half to finally meet this guy for a drink – I’d been talking to him for months,” Cox tells Grazia mag. “He arrived and looked nothing like his pictures but I persevered. I realized I was doing all the talking. I hate that, and he said, ‘I’m just imagining being back at your apartment naked’. I looked at him, took $20 out from my purse and said, ‘I’m going to go now. Have a nice day’.”

“I very much believe in love,” Cox said. “I want to be in love and in a partnership with a man. I see myself in love and in a fierce partnership with someone who loves and respects me.”

0 Comments: