Saturday, June 17, 2017

Harmonize, Sarah kwa raha zao ‘Uzunguni’


MSANII wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya WCB, Harmonize amezidi kumuanika mpenzi wake mpya Sarah ambapo wameonekana wakiponda raha nchini Marekani wanaponda raha.
Harmonize kwa muda mrefu alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na Jacqueline Wolper lakini ameamua kumpa kisogo na kuweka ubavu kwa Sarah.
“Sarah ni mke wake na tulikuwa  Miami kwaajili ya kurefresh mind tu, ambako ndipo yalipo makazi ya familia ya mpenzi wangu,”anasema.
Harmonize  anaonekana kuzama kwenye dimbwi la mahaba ya Sarah , na picha zake nyingi ambazo anaposti kwenye mitandao ya kijamii ni kama vile anafikisha ujumbe kwe wenye vijicho pembe.

0 Comments: