Thursday, May 11, 2017

Usher Raymond akila bata Hawaii na Meneja wake wa zamani Grace Raymond


Usher Raymond alionekana mitaa ya Maui, Hawaii na madada wachache na mkewe. Usher na meneja wake wa zamani , Grace Raymond ambaye alikuwa mkewe walikuwa pamoja wakiwa mapumziko wote Mexico mwezi machi, lakini walikuwa pamoja kwa wote.
Meneja wake huyo mwenye umri wa miaka 38 alikuwa na wanadada wengine wakila bata kwa pamoja huku akiwa na furaha pamoja na  bikini nzuri.

Wadada waliokuwa wakila bata na Usher pamoja na mkewe Grace Raymond’s aliyekuza mwanae wa kike, Leaf, walikuwa na furaha kwa pamoja.
Usher ana watoto waili wa kiume amabo ni Cinco na Naviyd aliyezaa na mwanadada na mwanamitindo Tameka Foster. Usher na Grace walioana 2015 baada ya kuwa kwenye uhusiano mwaka 2009. Lakini katika ndoa hiyo hawajapata mtoto.
 

Usher Raymond picha za mapumziko


Usher Raymond picha za mapumziko

0 Comments: