Thursday, May 25, 2017

PICHANI: Jermaine Jackson na Mchumba wake Maday Velázquez wakiwa Cannes



Jermaine Jackson na mchumba wake wa muda mrefu  Maday Velázquez wakiwa wamepozi katika sherehe za Red carpet  70th Annual Cannes Film Festival, Cannes jijini Ufaransa siku ya jumatano. Jermaine mwenye umri wa miaka 61 huku mchumba wake akiwa na umri wa miaka 23, Velázquez baadan ya kuachan na mke wake, Halima Rashid waliotalikiana mwaka 2016.

Wapenzi hao walionekana wakiwa na furaha siku hiyo ya sherehe.
Jackson hakuisha kuwa na furaha na mchumba wake huyo mrembo kwa kupiga picha za kutosha katika sherehe hizo.

Jermaine Jackson na Maday Velazquez


Jermaine Jackson na Maday Velazquez

0 Comments: