Wednesday, May 24, 2017

Mungu anisimamie kuwabadilisha watu wanaonizunguka --Wizkid

Tajiri gani anaeweza kumwomba mungu kwa mapenzi yake kwa watu wanaotuzunguka? Msanii Wizkid anaweza kuwa kijana mdogo mwenye utajiri lakini bado anaamini mungu ndio kila kitu kwake na kumsaidia yeye kufikia ndoto zake za kazi za muziki . Wizkid aliyasema hayo kwa watu wanaomzunguka duniani kote kwa kazi zake anazoshirikiana na wasanii mbalimbali duniani kote kama alivyomshirikisha msanii kutoka Canada Drake. 


Nimeona vijana wengi wakifanya muziki na kuingia studio kwa kufanya kazi mbalimbali  na wasanii wa kimataifa lakini hawafanyi vizuri ki vile bali bado wanamuhitaji mungu zaidi kuishi na wengine na kuendelea na kazi zao.

Wizkid alisema "Tunamuhitaji mungu zaidi kwa kutupa huwezo wake kwa kutubadilisha jinsi ya kuishi kwa kila mmoja"
Nina matumaini yangu makubwa toka moyoni kabisa na hivi karibuni watu wataamini kwa hilo kwa sababu hivi karibuni milioni ya mashabiki wangu watakuwa kwenye mstari mzuri wa kumkumbuka mungu ili kundelea kumwomba kwa kila jambo.

0 Comments: