Rapa Drake siku ya jumapili usiku katika tuzo za Billboard Music Awards, zilizofanyika Las Vegas.
Mkali huyo mwenye umri wa miaka 30 raia wa Canada alijishindia tuzo 13 na kuvunka rekodi ya msani mwenye asili ya Uingereza, Adele katika tuzo hizo za Billboard kwa kushinda tuzo nyingi kwa usiku mmoja.
Akiwa anatoa pongeza zake kwa mashabiki Msanii huyo alimwambia msanii mwenzake aliyekuwa anaendesha tuoz hizo Ludacris.
“You know, I had a close friend of mine that didn’t support my album
but then supported other people’s stuff,” Drake said. “And I asked them
why, and their response was, ‘I don’t want to look thirsty and you get
enough love as it is.’ ”
Alimgeukia Luda na kusema, “I want to say, Ludacris — I
know we haven’t always seen eye to eye but I’ve always been a big fan of
yours. I got a lot of love for you. I want to let you know that face to
face while I’m still here.”
Pia alitoa pongeza kwa kundi lake la zamani la Young Money huku rafiki yake wa karibu Nicki Minaj na kumuita ni mtu muhimu sana katika maisha yake.
“Nicki Minaj, "Nina furaha sana kuwa na wewe sababu nakupenda na sitaacha kukupenda milele na milele kwa njia yeyote ile".
Maneno hayo yanakuja baada ya kuenea uvumi ya kwamba Nicki Minaj alikuwa mpenzi wake ambapo baadae alikuja kuwa mpenzi wa msanii Meek Mill mwaka 2015.
Msanii Drake alikuwa na wasnii wenzake Li’l Wayne, Nicki Minaj, na wengine kibao baada ya kushinda tuzo uskiku huo.
Drake appeared to take another dig at Ludacris during his acceptance speech.
“Someone wise once told me that, life is like toilet paper: you’re
either on a roll or you’re taking sh-t from some a–hole, so here’s to
being on a roll.”
What did Ludacris ever do to Drake?
0 Comments:
Post a Comment