Tuesday, May 16, 2017

Minaj aonesha alivyo muaminifu

Mwanadada Nick Minaj atekeleza ahadi aliyoitoa kwa shabiki zake kwa kulipa ada za shule.
Nicki alianzisha shindano la kukutana na shabiki zake na kuwalipia nauil kokote dunia iliakutane ane. Ndipo moja ya shabiki akabadiri sura ya mchezo huo na kupelekea kulipiwa ada za shule.
Nicki Minaj hakuwa akiongea maneno tu. Na tayari ameanza kuwatumia fedha mashabiki hao. Kupitia mtadao wa TMZ imezungumza na baadhi ya mashabiki , na wamethibitisha kuwa wamepokea fedha hizo ambapo mmoja amesema amepokea, $800 na mwingine $500.
Awamu nyingine ya kutoa ada kwa mashabiki wake itafanyika baada ya mwezi au miezi miwili alitweet Nicki

0 Comments: