Thursday, May 18, 2017

MESEJI YA IRENE PAUL KUTOKA INSTAGRAM


irenepaul001Nachekaga sana humu insta watu wanavyopenda kujifanya watoto wakati ni watu wazima tofauti ni maamuzi😂Kwanza wote wa 1980s,90sbasi jijue mpo umri mmoja,pili kwa vile mwenzio kajifungua au kaolewa hakumfanyi awe mzee maana afadhali yeye sarakasi zake zimeleta matunda kuliko wewe ambae mpaka leo unatoa na kubadilisha au hujulikani (YAHAYA WA MAHUSIOANO),halafu jitofautishe na huyo unaemtukana si ajabu maisha yake itabidi umalize mengi kumfikia maana keshafanya mawili ma tatu ya maana we umebaki na ujana,nne hata kama alizaliwa kabla yako bado hajawa sawa na mzazi wako alokuzaa kwa hiyo na yeye bado mtoto,unachosahau miaka miwili ijayo na wewe utakuwa hapo maana miaka haisimami ila tofauti na hapo si ajabu wewe mzee kuliko yeye maana SARAKASI ZAKO na utoto uchwara wako hazikamati hata bure,isitoshe huyo aliyekomaa ana majukumu mengi zaidi yako wewe unawaza party/disco/fashion/wanja/simu na KIDANGA/LIDANGA LAKO (chagua maana hapa mnachekeshaga)😂😂😂CHILL# BUILD URSELF INSTEAD OF COMPARING#LET ACHIEVEMENTS MAKE SOME NOISE AND NOT UZURI WA MWILI#KWA kijana aliezaliwa leo wewe mwenyewe ZILIPENDWA#phrasesoflifecycle#

0 Comments: