Thursday, May 4, 2017

Mastaa wawasili katika pati ya Tour ya Chris Brown Atlanta


Mastaa kibao  Chris Brown, Fabolous, 2 Chainz, Migos, Polow Da Don, Meek Mill, T- Pain, Young Buck, OT Genasis, na wengine kibao waliwasili katika pati ya msanii Chris Brown’s ambayo ilikuwa pati kwa ajili ya Tour yake Atlanta Jumanne hii. Pati hiyo ilikuwa chini ya udhamini wa Alex Gidewon chini ya kampuni ya  AG Entertainment.
Photos by Prince Williams/ATLPics.net

Rapa  Fabolous aliwakilisha
Kundi la Rap la  Migos waliwakilisha wakiwa na pamba kali za  Gucci, Versace, na Goyard ambayo  ni blandi ya nguo hizo na mabegi yao yakiwa yamenakishiwa na dhahabu kutoka Atlanta’s Icebox Jewelry.
Kama kawaida msanii  T-Pain alikuwepo.
Keki. Chris Brown akisali kuiombea keki hiyo.

Chris Brown


Quavo (Migos)


Takeoff Goyard bag detail


Chris Brown, Fabolous


Chris Brown


Chris Brown


Chris Brown


Atmosphere


Atmosphere


Karlie Redd


Chris Brown


Chris Brown


T-Pain


Chris Brown, Alex Gidewon

0 Comments: