Thursday, May 4, 2017

Mariah Carey, Nick Cannon, Loni Love, Hailee Steinfeld, Lori Harvey


Wana ndoa waliokuwa wakipendana sana Mariah Carey na Nick Cannon ambapo kwa sasa wamebaki marafiki nao walikutana katika mgahawa LA ,West Hollywood jumanne. Mariah aliwasili maeneo hayo akiwa amevaa kimini cheusi kifupi akiwa na mlinzi wake. Nick nae alikuwa amevalia suti nyekundu na kofia.
Photos by SPW/Splash News, Backgrid
Mshereheshaji  Loni Love nae aliwasili usiku katika ufunguzi wa  ‘The Bodyguard: The Musical’ katika jumba la sinema Pantages, Hollywood jumanne. Loni alikuwa katika mwonekano mzuri la vazi jeusi.
Photo by Guillermo Proano/WENN.com
Mwigizaji, mwimbaji na mwanamitindo Hailee Steinfeld ambapo alihojiwa na mtandao wa udaku nchini  TMZ‘s walilipoti mwanadada huyo kwa sasa ana mahusiano ya kimapenzi na mwanamuziki mwenzake wa miondoko ya pop Justin Bieber.Na yeye kusema kuwa ni marafiki tu na si wapenzi kama wanavyoripoti watu huku Hailee akicheka akiwa anahojiwa. Nae aliwasili katika hoteli hiyo iliyoko New York jumanne hiyo.
Photo by TNYF/WENN.com
Mtoto wa  staa Steve Harvey‘s ambaye ni Lori Harvey nae aliwasili hotelini hapo Manhattan jumanne. Lori’s ambaye mama yake alikuwa mke wa Harvey’s huku nyuma na kuachana, ambaye ni Marjorie Harvey.
Photo by WENN.com

Mariah Carey


Mariah Carey


Lori Harvey


Nick Cannon


Djimon Hounsou

0 Comments: