Friday, May 19, 2017

Li’l Wayne, T Pain kuachia kitu kipya kinakwenda kwa jina la T-Wayne


T-Pain Lil wayne

Wasanii wakali T-Pain na Li’l Wayne kwa pamoja wanakuja na kitu kipya baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu  mixtape inayokwenda kwa jina la T-Wayne.

Ngoma mpya watakayoiachia kutoka katika Mixtape hiyo ni  “Breathe” amesema kama ngoma ya  Nicki Minaj “stole” ambapo Wayne alikuwa jela kwa kosa la kukutwa na silaha mwaka 2009. Msanii huyo mwenye mapenzi ya kubadili sauti kwenye hiyo  mixtape.
Nyimbo hizo zote alizirekodi mwaka 2009.

0 Comments: