
Ni kijana mpya kutoka kiwanda cha kuibua vipaji chini ya Rais wa Wasafi Diamond, ameachia wimbo wake mpya wa Lava Lava msanii mpya toka WCB ambaye kwenye familia hii anakua ni msanii wa nne baada ya Harmonize,Rayvanny,Rich Mavoko na Queen Darlin.
Historia
fupi ya Lava Lava ni moja kati ya wasanii waliopitia kwenye nyumba ya
vipaji Tanzania (THT), akiwa kama mmoja kati ya watu wa Darasa jipya la
nyumba hiyo ya vipaji,kabla ya kusainiwa rasmi LavaLava alikua ni msanii
wa back vocal kwenye show za Diamond Platnumz.
Huu ni wimbo wake wa kwanza akiwa ndani ya WCB na pia kuna mahojiano yake mafupi aliyoyafanya kuzungumzia wimbo huu.
0 Comments:
Post a Comment