Tuesday, May 2, 2017

Janet Jackson aachia mtandao wake akiwa tayari kwa Tour




Mkali wa  Pop duniani mwanadada Janet Jackson yuko tayari kwa Tour yake mwezi mmoja baada ya kujifungua mtoto wake wa kiume anayeitwa Eissa. Jackson ameachia mtandao huo kwa mashabiki wake ikiwa ni maandalizi ya Tour yake, utandao huo unakwenda kwa jina la  official website.

Mwanadada huyo aliyasema hayo jumatatu iliyopita usiku, huku kukiwa na udaku kwa mwanadada huyo mwenye umri wa miaka 50 kuja kuachia albamu yake mpya au kuuza tiketi kwenye tour yake aliyoipa jina la Unbreakable World.

Habari zaidi ingia hapa WENN.com

0 Comments: