Rapa kutoka Houston Travis Scott na mwanadada kutoka familia ya Kardashian, Kylie Jenner
waliwasili kwa pamoja Western Conference katika robo fainali ya 2017 NBA Playoffs katika uwanja wa Toyota Center Jumanne ya Aprili 25, katika jiji la Houston,
Texas. Travis na Kylie kwa sasa wanatoka kimapenzi baada ya kuachana Tyga ambaye majuzi alionekana na mrembo mpya baada ya kuachana na Tyga.
0 Comments:
Post a Comment