NDOA huja na baraka zake bwana na baraka zenyewe huwa ni watoto, sasa baada ya kipindi cha mwaka mmoja wa ndoa yao hatimaye, Rapa J Cole na mkewe, Melsia Heholt wamefanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza
Mkali huyo wa ngoma ya Work out, amethibitisha kupata mtoto wao wa kwanza katika mahojiano aliyoyafanya wiki hii lakini akisita kutoa jina la mtoto wala kuweka hadharani jinsi yake.
Licha ya kuficha kuhusu jinsi ya mtoto huyo, wadadisi wa mambo wamebet kuwa anaweza kuwa wa kike kutokana na staa huyo kusikika akiimba wimbo wa She is mine PT1 na She is mine PT2 kutoka katika albuma yake mpya ya For your Eyes Only.
Saturday, April 22, 2017
Neema yazidi kumdondokea J Cole
Saturday, April 22, 2017
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment