Thursday, April 20, 2017

MLELA AMCHANA NAY KUHUSU WAO KUANDAMANA HAKI ZAO


Msanii Mlela leo amemchana msanii wa muziki wa bongofleva Nay kupitis mtandao wa Instagram
@naytrueboy wewe jamaa si ulikuwa chocolaa wewe Leo umeyapatia kidogo unasahau kwamba nyuma yako kuna kundi la vijana wanatamani kuwa waigizaji\wanamziki wakubwa....acha kupotosha jamii yetu Kwa sababu zako binafsi... SISi wasanii ATUJAKATAZA MOVIE ZA NJE
.. TUNATAKA WANAOZISAMBAZA WAFATE TARATIBU ZA KISHERIA ILI UWIANO WA BIASHARA UWEPO ndio lengo LA maandamano.. so acha kutafuta sifa... nakushangaa kuwa na ufikilivu mdogo kama wewe sio Msanii...tunajua matatizo ya filamu zetu na tunafanyia kazi malekebisho..halaf huwezi kufananisha filamu na mziki.....Kwa sababu unajifanya chizi mbabe.. Wewe si mtoto wa manzese unajifanya unajua kupiga ngumi nataka Round 3 tu za boxing kwenye stage ili Tanzania ijue nani tahiraa nikutie adabu..... This is serous coz we mtoto mdogo tu kwangu dole la kati linakuhusu, kuongea sana tabia za kike wewe si hip hop na unajiamini njoo uwanjani chagua popote pale.....THiS is serous 👊@naytrueboy nb:nyie mbuzi mnaosema natafuta kiki Mimi sina nia hiyo kwanza sipendi kuongelewa...kikubwa sipendi dharau coz kila MTU ana haki ya kutetea kazi yake .... Sitaki kupendwa kinafki...pia hamnishangazi eti kutonunua movie zetu coz tunajua bongo movie INA wenyewe sio wewe unayesubiri uikute ishanunuliwa uangalie halafu uponde..hamtuumizi vichwa.

0 Comments: