MOJA ya habari iliyopo kwenye mitandao ya kijajamii inamhusisha msanii wa Bongo Fleva Rehema Chalamila 'Ray C' kufukuzwa katika lebo ya Wanene Enterteiment.
Hiyo inatokana na kauli yake anayodaiwa kuitoa kuwa hajasaini kwenye lebo yeyote.Akizungumza kupitia eNewz ya EATV, Maneja wa Wanene Enteriment Gentris anasema Ray C alikuwa hatua za mwisho kusajiliwa katika lebo yao.
"Ila alikosea baada ya kupewa demo ya nyimbo yake ambayo ilikuwa haijawa tayari na kuivujisha hali iliyosababisha uongozi wa Wanene kukasirika na kuamua kumtimua,"anasema.
Hata hivyo Ray C anasema sababu sababu iliyosababisha yeye kufanya kazi na Wanene ni baada ya kupewa ofa ya kurekodi na lebo hiyo, hivyo alishindwa kukataa kwani Wanene ni lebo kubwa na yenye vyombo vya kisasa zaidi.

0 Comments:
Post a Comment