Friday, February 24, 2017

NGOMA MPYA KUTOKA MJ RECORD YA MWANADADA NI WIMBO HUU-NINI



Wimbo huu” ni wimbo ulifanywa na msanii kutoka Tanzania anaeitwa Nini. Tarehe rasmi ya kutoka wimbo huu ni February 24, 2017 kama wimbo wa kwanza kutoka kwenye album yake ya kwanza iliyopewa jina la  Ni nini?

Wimbo huu” ni mchanganyiko wa zouk na Afro pop , wenye vionjo vya “Saxophone”, na rhythm za pwani na midundo ya kiafrika.


Kimashairi “Wimbo huu” unazungumzia mahusiano ya mbali ya wapendanao haswa pale ambapo wimbo unapokuwa na nguvu ya kukumbusha kuhusu mwenza wako aliyepo mbali, hivyo unakufanya uusikilize kila wakati unapomkumbuka.

Umetengenezwa na kuandikwa na Daxo Chali katika studio za MJ Records.
Haya ni mashairi ya wimbo huu
-->
Nini – Wimbo Huu – Lyrics
INTRO;
(Huu
Huu
Huu
Huu) x 2
VERSE 1
Wanasema huu sio upendo, unazidi maneno
Na mimi nakaza mwendo, oooh!
Moyoni mwako niwemo, kumbuka kila neon
Laweza unda misemo.
My baby, ooh baby
My baby, ooh baby
CHORUS
(Naskiza wimbo (huu)
Naskiza wimbo (huu)
Kila nkiku miss) x 2
VERSE 2
Naipenda furaha, tatizo huwa haidumu
Vile nlivyo zama, ukinikosea ntajilaumu
Niweke vizingiti (why?)
Ili usuni cheat (why?)
Mi mbona hata sijawahi
My baby, ooh baby
My baby, ooh baby
CHORUS
(Naskiza wimbo (huu)
Naskiza wimbo (huu)
Kila nkiku miss) x 2
My baby, ooh baby
My baby, ooh baby
CHORUS
(Naskiza wimbo (huu)
Naskiza wimbo (huu)
Kila nkiku miss) x 2
AUTRO;
(Huu
Huu
Huu
Huu ) x 2
Song Writer; Daxo Chali