Tuesday, November 22, 2016

Mwana FA na Vanessa Mde na singo yao mpya ya “Dume Suruali”

Hii singe hii imetayarishwa chini ya  Produza Daxochali kutoka studio za MJ Records. Kwa wale wasiofahamu Doxochali ni mdogo wa Marcochali ambaye ni Producer mkongwe kwenye game ya BongoFlava.

0 Comments: