Friday, January 1, 2016

SIKILIZA MOYO WAKO (LISTEN TO YOUR HEART) NEW HIT SONG NYINGINE KUTOKA

Baada ya nyimbo yake ya Dudu kufanya vizuri katika social media,maclub na mitaani rapa machachari Kapuku Digital kutoka Arusha ameamua kufungua mwaka kwa ngoma hii kali ya hip hop ambayo inatarajiwa kuwa hewani kwenye radio station mbalimbali ameamua kufanya hii baada ya ngoma zake nyingi kushindwa kupigwa radioni kisa maneno makali sasa ameamua kufanya ngoma kali ili watu wote waweze pata fleva zake

tutashukuru kwa ma DJz wote watakao support mziki wetu ngoma nimeambatanisha link kwa ajili ya bloggers mp3 niliyoambatanisha kwa ajili ya RADIO MBALIMBALI FOR PROMO AHSANTENI.

FOR INTERVIEW CALL 0628 602 863----SMS KWANZA KABLA HUJAPIGA 



0 Comments: