Sunday, December 20, 2015

BELLE 9 - BURGER MOVIE SELFIE

 

 
Huu ni wimbo mpya wa Belle 9 uliotoka Jumatatu Dec.7.2015. Audio imetengenezwa na Tiddy Hotter, na video pia imefanyika Morogoro na producer aitwaye GQ ambaye pia ni wa Morogoro.

Tu-support vipaji vya kweli kama nifanyavyo mimi.

Kid Bway

0 Comments: