Wednesday, May 14, 2014

Tulivyo Unit-Tunawakata Wenge (NOIZ)

Click HAPA kusikiliza/download ngoma ya kundi toka pande za Kifaru mkoa wa Kilimanjaro kwa jina "Tulivyo Unit" na ngoma yao mpya category ya HipHop walioipa Jina "Tunawakata Wenge" ikiwa ni kazi toka Noizmekah Studios kwa Defxtro, kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check na Tulivyo Unit kwa Nambari +255 652 756 569 na +255 657 446 675 powered by www.vmgafrica.com
--
Tulivyo Unit-Tunawakata Wenge (NOIZ) http://goo.gl/REXyWt

0 Comments: