Baada
ya kutoka na Maisha ya Mjini wimbo aliomshirikisha msanii Linex sasa
Mwanadada anayetamba kwa Rap za Kiswazi zaidi KITIFA ametoa ngoma ingine
aliyomshirikisha Rich Mavoko, ngoma inaitwa 'Unacheza na Nani'
iliyoandaliwa katika studio za Legendary Music Tanzania.
Support
yako inahitajika sana Mdau kwa kuipa Air Time pamoja na kushare kwa
mitandao mbali mbali blogs na website,.. Tunaudhamini sana Mchango wako.
--
Dj Mchomo
+255 716 825982
www.djmchomo.blogspot.com--
Dj Mchomo
+255 716 825982
Dodoma, Tanzania







0 Comments:
Post a Comment