Thursday, April 24, 2014

RG Unit-Kula kwa Macho (NOIZ)

Kundi chipukizi, RG Unit  linalowakilisha vyema katika bongofleva wanadrop "Kula kwa Macho" ngoma ya miondoko ya Dancehall toka Noizmekah Production Studios
, bofya HAPA kuidownload/kuisikiliza na kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check nao kwa nambari +255 766 477 986 na +255 762 646 524 powered by www.vmgafrica.com
--
RG Unit-Kula kwa Macho (NOIZ) http://goo.gl/dh3ihz

0 Comments: