Saturday, January 11, 2014

Stereo ft BenPol-Usione Hatari

Ngoma inakwenda kwa jina "Usione Hatari ya HipHop Mc maarufu kama Stereo akimshirikisha BenPol katika chorus, kazi toka studio za Noizmekah Studios chini ya Producer Defxtro,kusikiliza/kudownload click HAPA na kwa mawasiliano zaidi/Mahojiano check na Stereo kwa Nambari +255 718 586 731 powered by www.vmgafrica.com
--
Stereo ft BenPol-Usione Hatari (NOIZ) http://goo.gl/U0f5ti

0 Comments: