Wednesday, January 15, 2014

NGOMA MPYA YA MSAMI BABY

Ngoma inakwenda kwa jina "Sound Track ya msanii  Msanii ambae pia 


ni choreographer  wa Dance mbalimbali za wasanii wengi wakubwa  akitokea Tanzania House Of Talents ,  kazi imefanywa na  Producer Mkomoro  Djoban  ambae ameproduce Hit kama Kibaba ya Makomando,Sex -by Rachel na  wengine kibao.
kwa mawasiliano zaidi/Mahojiano na Prom+255 719 100 535  +255 716 483 645
otion check na Msami  kwa Nambari

0 Comments: