Habarini ndugu na jamaa na wadau wa mziki ,
Naomba nichukue fulsa hii kuwakaribisha wote kwa atakayependa kudhamini mixtape ya RAPA
machachari KAPUKU DIGITAL ya “KABURI LA FISADI” inayotarajiwa kuachiliwa hivi
karibuni. Hivyo basi kama wewe mdau,blogger na blog yako,webmaster na website
yako,kampuni,dj,presenter,shabiki wa hip hop,hata kama adui unakaribishwa
katika udhamini wa mixtape hii, nembo yako au blog yako itakua kwenye kila
bango la mixtape hii hadi cover na ata red carpet ya uzinduzi POSTER.
Kama umeridhia na maombi haya tutumie majibu ukiwa umeambatanisha na lebal, nembo au blog
yako katika picha kupitia email : kapukudigital@gmail.com
Utapata nafasi ya jingle for promo za audio za blog yako
wakati tuna promote mixtape.
Tuna karibisha mawazo ya jinsi unavyo weza kudhamini mixtape
hii ahsanten hii kitu ni noma. One love…we keep it hip hop






0 Comments:
Post a Comment