Leo napenda
kuwapa wimbo wangu mpya unaoitwa hii ngoma. Hii ngoma niwimbo niliouwimba kwa
isia kali sana kwa lengo la kuongeza juhudi zaidi na kufanya kazi zangu kuwa za
kimataifa zaidi.
Ndugu
zangu,marafiki zangu na watu wote kwa ujumla, nashukuru sana kwa saport yenu
mnayonipa zikiwemo midea za kitanzania asa Radio,Tv,Magazeti na kwenye mitandao
tofauti tofauti ya kijamii. Ahsanteni sana na msife moyo kwa nguvu zenu, naona
kazi zangu zinaendelea kua juu na inatia moyo kwa kweli.
Kichichi
mawe ni aina ya mchezo mpya wa kucheza na
ninjia pia ya kupongezana kama sisi vijana kwakila jambo linalofanyika,
Chichi mawe ni jina la bondia wangumi Tanzania anaejulikana sana kwa jina la
Franc Miyayusho. Hivi karibuni Franc amekua akishinda mapambano yake yote na
hana historia ya kupigwa hata mara moja. Kwa kuliona ilo mimi kama Buibui na
nimsanii wa mziki huu wa nyumbani nimeona bora nimpongeza rafiki yangu mpendwa
kwa kutoa aina ya uchezaji inayoitwa kichichi mawe.Kichichi mawe nitakua
nacheza kila nitakapo kuwa kwenye show zangu na nitakua nacheza pia kwenye
ngoma hii na nipo kwenye maandalizi ya mwisho ya Video yake na nitaonesha jinsi
ya uchezaji huo mpya nilioupa jina la KICHICHI MAWE.
0 Comments:
Post a Comment