Friday, October 18, 2013

KOMBORA JINGINE KUTOKA ARUSHA HIT MIXTAPE SONG BALAA "CHIMBA"

Ikiwa imebakia miezi mitatu tuu kwa rapa machachari Kapuku digital aka mitishamba boy aka Bullet Proof kuachia Mixtape yake hii hapa ngoma nyingine itakayo patikana ndani ya mixtape hiyo ya KABURI LA FISADI isikilize alafu upime mwelekeo wa mixtape….balaaaaaaa..


0 Comments: