Tuesday, October 8, 2013

Bang Fellahz-Enzi Hizo

Wanakuja Bang Fellahz toka Moshi "Majengo" Pande za Kilimanjaro na ngoma yao mpya kabisa kwa jina "Enzi Hizo" ikiwa ni mkono toka Noizmekah Studios chini ya defxtro,Bofya HAPA kudownload mpango mzima na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na BangFellahz kupitia namba za Simu +255 657 682 461 au +255 653 687 158 powered by www.vmgafrica.com
--------
Bang Fellahz-Enzi Hizo http://goo.gl/YNSWZ7

0 Comments: