Sasa
zimebaki siku 2tu kabla ya kufika siku tunayoisubiri kwa hamu, The
Legend is Back first anniversary. Project ilianza kwa support yenu na ni
mwaka sasa tunatimiza kwa sapport yenu. Tulianza pamoja karibu
tujumuike tutimize mwaka tukiwa pamoja. Siku hii muhimu itaambatana na
shindano kali la disco dancing toka kwa mabingwa wa zamani kuiwakilisha
Morogoro Maneno Ngedere na toka DSM Athuman Diga Diga. Vile vile wakali
wa chacha Africa Mashariki Moddy Jazz B na Sunday Boy watachuana vikali.
Utakuwa vilevile na special moment of silence kuwakumbuka malegendari
wa disco waliotutangulia mbele ya haki ni j'mosi hii 28/9/2013 ndani ya
isumba lounge. Wote mnakaribishwa
0 Comments:
Post a Comment