PapaaDolaa & Chedu2R na ngoma "Michano" ikiwa ni Nafasi waliojishindia katika Msimu wa kwanza
katika shindano la PUNCH KWA MTAA, inayoendeshwa na DJ Mwaka ndani ya
MJ FM Radio,hawa ni wawili kati ya washindi wanane jumla katika Round ya
kwanza zawadi kuu ikiwa ni Kurekodi nyimbo katika Studio ya Noizmekah.
Pata kudownload HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na Papaa Dolaa kupitia +255 753 470 004 powered by www.vmgafrica.com
---------
PapaaDolaa & Chedu2R-Michano http://goo.gl/tDbm2m
---------
PapaaDolaa & Chedu2R-Michano http://goo.gl/tDbm2m







0 Comments:
Post a Comment