Mambo vipi,
Hii ni teaser ya official new single ya SAJNA aliyowashirikisha BEN POL na C-SIR MADINI, inaitwa "NINGEKUWA SINGLE".


Wimbo utatoka katikati ya wiki ijayo. Kwa sasa please naomba share na wengine teaser hii (Video/audio)

Thanx,
Kid boy
Tetemesha Records