Nchi yetu kwa sasa unapoteza ule muelekeo wa AWALI tuliokua nao yaani AMANI. Kila
kukicha matukio tofauti tofauti ya kuhatarisha AMANI yetu yanatokea kitu ambacho kitatupeleka kwenye VITA vya wenyewe kwa wenyewe.
Mimi kama Rodgers Israel nimeliona hili na kulitazama kwa jicho la tatu ndio maana
nimeweza kuwakutanisha wasanii zaidi ya kumi na kuimba wimbo huu wa
TUDUMISHE AMANI ili kuikumbusha jamii ya Watanzania na Dunia kwa ujumla kuwa tunapaswa kuilinda AMANI tuliyonayo kwa ajili ya vizazi vijavyo vya nchi yetu.
Ndani ya wimbo huu wameimba wasanii zaidi ya kumi maarufu kama watoto wa
Paradise ambao ni Chris wa Jano, Soja B, G wa Simon, G fire, Lady Nike, Mass B, Rayswing The Ngada, Yung Omega, Simpoo, Dj A11, Lady Yoo, Joseph Amani na mimi Rodgers.
Wimbo huu umetengenezwa na Producer Soja B kutoka pande za TVC RECORDS
Kimandolu Jijini Arusha.
Kwa Interviews unaweza kunitafuta kwa +255
764 288 054.
Download
na usikilize wimbo huu wa TUDUMISHE
AMANI kwa kubofya HAPA.
“WATANZANIA AMANI YETU IKO WAPI, TUKUMBUKE TULIPOTOKA, TULIPO NA TUNAPOKWENDA. MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA IMANI YAKO ITAWALE AMEN”
RODGERS ISRAEL NELSON
P.O.BOX 3084
ARUSHA
nrodgers52@yahoo.com
nellykivuyo@gmail.com
+255 764 288 054
+255 658 288 054

0 Comments:
Post a Comment