
Msanii wa filamu nchini Jaji
Khamis alimaarufu kama Kashi aliyewahi kushiriki katika tamthiliya mbali mbali zilizorushwa na kituo cha
Television cha ITV Amefariki dunia mchana huu katika hosptali ya taifa ya Muhimbili
alikokuwa amelazwa.
Tukio hilo limetokea ikiwa ni siku nne tuu baada
ya msanii wa muziki wa Bongo Flava Albert Mangweha (Ngwea) kuzikwa katika
makaburi ya Kihonda mkoani Morogoro.
Miaka ya nyuma msanii huyo aliwahi kuigiza
katika tamthiliya mbali mbali ikiwemo Tamu Chungu akiwa na wasanii wengine
maarufu kama vile Mzee Masinde, Samson na wengine wengi.
0 Comments:
Post a Comment