Msanii Langa Kileo (Maarufu kama Langa) amefariki dunia leo hii.
Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui. Anadaiwa kuwa alikumbwa na Malaria kali sana, Hali iliyopelekea kukimbizwa Hospitali ya Muhimbili jana.
Endelea kupata updates za kilichotokea na kinachotokea hapa
0 Comments:
Post a Comment